Home Top Ad

Responsive Ads Here

timu zilizopanda kucheza VPL msimu ujao

Timu ya Njombe Mji kutoka Mkoani Njombe imefanikiwa kupanda daraja kucheza ligi kuu Tanzania bara msimu ujao 2017/18 baada ya kupata ushindi wa magoli 2-0 mbele ya Kurugenzi ya Mafinga mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Wambi mjini Mafinga.
Njombe Mji imekuwa timu ya tatu kupanda daraja na kukamilisha idadi ya timu kutoka ligi daraja kwanza zilizopanda kucheza VPL kwa msimu ujao ambazo ni 
Lipuli (Iringa)
Singida United (Singida) 
Njombe Mji (Njombe)
Wakati timu tatu zikipanda daraja kutoka ligi daraja la kwanza kwenda ligi kuu Tanzania bara, kuna timu tatu ambazo zimeshuka daraja kutoka ligi daraja la kwanza hadi ligi daraja la pili ambazo ni 
Kimondo SC (Mbozi), 
African Sports (Tanga)  
Panone FC (Kilimanjaro).
timu zilizopanda kucheza VPL msimu ujao timu zilizopanda kucheza VPL msimu ujao Reviewed by pongwa trading on 01:04:00 Rating: 5

No comments

Recent