Home Top Ad

Responsive Ads Here

waliofukuzwa Msumbiji waanza kurudishwa makwao

serikali imeamua kuwarudisha makwao waathilika wote waliofukuzwa nchini msumbiji kwa kutumia magari ya jeshi la wananchi (JWTZ).
ofisa uhamiaji wa mkoa wa Mtwara Rose Mgahama amesema hadi kufikia juzi watanzania waliojisajiri katika mpaka wa kilambo walifikia 220 wakitokea msumbiji
baada ya kufukuzwa na kufanyiwa vitendo vya ukatili
waliofukuzwa Msumbiji waanza kurudishwa makwao waliofukuzwa Msumbiji waanza kurudishwa makwao Reviewed by pongwa trading on 05:45:00 Rating: 5

No comments

Recent