Home Top Ad

Responsive Ads Here

mapambano dhidi ya madawa ya kulevya yazidi kuimarika

Rais John Magufuli leo amemteua Bwana Rogers Willium Sangga kuwa kamishna mkuu wa mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya nchini.

Kamishna Sanga atasaidiwa na Bwana Mihayo Msikela ambaye ataongoza kitengo cha oparesheni na Fredrick Kibuta yeye atakuwa kamishna wa Intelijensia!.

Chanzo:Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu!.
mapambano dhidi ya madawa ya kulevya yazidi kuimarika mapambano dhidi ya madawa ya kulevya yazidi kuimarika Reviewed by pongwa trading on 06:04:00 Rating: 5

No comments

Recent