Home Top Ad

Responsive Ads Here

GWAJIMA aweka hadharani vyanzo vya mapato

Gwajima aweka hadharani vyanzo vya mapato yake hii ni baada ya kutajwa kwenye sakata la madawa ya kulevya linaloendelea jijini DAR

vyanzo hivyo ataja kama vile vyanzo vya mapato kutoka kampuni mbalimbali zilizopo chini ya kanisa lake
asema yeye ni recturer pekee wa philosophy anaetokea Tanzania na kwenda kufundisha marekani, uingereza na maeneo mbali hivyo kumiliki ndege kwake ni jambo la kawaida tu
GWAJIMA aweka hadharani vyanzo vya mapato GWAJIMA aweka hadharani vyanzo vya mapato Reviewed by Unknown on 01:00:00 Rating: 5

No comments

Recent