Home Top Ad

Responsive Ads Here

Picha ya Diamond Platnumz na familia yake iliyomtoa Barnaba machozi

Mwimbaji wa bongofleva Barnaba ambaye ni miongoni mwa waliotoka mbali wakifahamiana na Diamond Platnumz ameyaandika haya kwenye Instagram page yake leo baada ya kuiweka hii picha ya Diamond akiwa na familia yake.
Ukweli nisiwe muongo kutoka moyoni hii picha inaongea mengi sana nimetazama machozi yamenitoka kabisa kwa furahaa sana, umoja ni nguvu kabisa mkishikana kwa kila matatizo na mkapambana kila kitu kinakua sawa”
Matatizo ni mengi lakini mwanangu Rafiki Yangu @diamondplatnumz nakupongeza sana kwa kusimama na Familia yako kwa kila mitihani na mbali na mambo Yote ya binadamu na maneno masimango Kash kash za Hapa na pale
Picha yenyewe iliyomtoa Barnaba machozi ya furaha
unaonesha Upendo wa wazi na ni wachache wenye kukubali kubeba majukumu na ukubwa wa maisha ni kuyafata majukumu sio kuyakimbia Mungu akubariki Asante sana kwa mualiko pia nashukuru sana tuko pamoja mpaka mwisho mimi nakuombea na Mungu Akusimamie Amina uku mama uku mkwe uku ubavu wako kati Marafiki wako wa milelee watoto wako aisee “


Picha ya Diamond Platnumz na familia yake iliyomtoa Barnaba machozi Picha ya Diamond Platnumz na familia yake iliyomtoa Barnaba machozi Reviewed by Unknown on 02:48:00 Rating: 5

No comments

Recent