Home Top Ad

Responsive Ads Here

Alichopost Steve Nyerere kuhusu Mwigizaji Wema Sepetu

Leo kwenye Account ya Instagram ya mwigizaji Steve Nyerere ambaye pia ni Mwigizaji mweza na Wema sepetu akayaandika haya kwa Wema Sepetu yasikupite >>>>>>>>>>>>>>>”WEMA SEPETU nimejifunza mengi kupitia wewe, nasimama kukuombea yani sina jinsi natamani niseme ila dar mungu akusimamie Kwa kila jambo”
“Mm Najua natambua upo kwenye hali gani, Wema wema wema wema wema hujui hali yangu ilivo ila napiga magoti kukuombea, hii picha imeniliza asante usishangae siku nami yakanitokea doo maaana maadui ni wengi, Ila tukeshe tukisali”

Alichopost Steve Nyerere kuhusu Mwigizaji Wema Sepetu Alichopost Steve Nyerere kuhusu Mwigizaji Wema Sepetu Reviewed by Unknown on 01:06:00 Rating: 5

No comments

Recent