Home Top Ad

Responsive Ads Here

njia za uingizaji madawa zatajwa

Mkuu wa mkoa jijini DSM amtaja njia mbali mbali zinazotumika kuingiza na kusambaza madawa ya kulevya nchini Tanzania, njia hizo ni  kma zifuatazo
1. Njia ya meli zinazotoka nje ya nchi na kubeba madawa ya kulevya kisha kutupwa karibu na kisiwa cha Zanzibar

2. njia nyingine mi njia za mabasi mbalimbali na maroli yanayotoka nje ya nchi kwa usafiri wa maji na kupandikiza madawa hayo
Pia mkuu wa mkoa Mh. Poul Makonda amesema madawa hayo yanasambazwa kupitia magodauni mbalimbali na show mbalimbali za magari.


njia za uingizaji madawa zatajwa njia za uingizaji madawa zatajwa Reviewed by pongwa trading on 03:25:00 Rating: 5

No comments

Recent