Home Top Ad

Responsive Ads Here

Yusuph Manji apata dhamana

Leo kwenye Mahakama ya hakimu mkazi kisutu Dar es salaam alifikishwa Mfanyabiashara maarufu ambaye pia ni mwenyekiti wa Club ya Yanga, Yusuph Manji ambaye alikua akishikiliwa na jeshi la Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya.
Mahakamani hiyo imetoa dhamana kwa mfanyabiashara huyo na ameachiwa kwa dhamana, amejidhamini mwenyewe kwa Tsh milioni 10 na mdhamini mmoja milioni 10, kesi itasikilizwa tena March 16 2017.
Yusuph Manji apata dhamana Yusuph Manji apata dhamana Reviewed by Unknown on 09:33:00 Rating: 5

No comments

Recent