BEN POL asema yupo tayari kuwa chini ya msanii mkongwe FID Q
ben pol afunguka asema yupo tayari kuwa chini ya label ya Fid Q kwani ni msanii mkongwe na msanii anaefahamu maisha ni nini na music ni nini
pia msanii mkongwe FID Q asema kuwa BEN POL ni msanii mjanja sana na anaependa kupata kitu kipya kila siku na kujifanya mjinga hana analolijua hivyo yupo tayari kufanya nae kazi . label ya fid q inaitwa CHEUSI DAWA
BEN POL asema yupo tayari kuwa chini ya msanii mkongwe FID Q
Reviewed by pongwa trading
on
04:17:00
Rating:

No comments