Home Top Ad

Responsive Ads Here

Manchester City yaibamiza Monaco 5-3

Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya mechi iliyochezwa usiku wa kuamkia leo Jumatano ni Manchester City imeibuka mshindi kwa mabao 5 kwa 3 dhidi ya Monaco.
Mechi nyingine Bayer Leverkusen ilitandikwa 4-2 na Atletico de Madrid
Michuano hiyo ya Ulaya itaendelea tena leo kwa michezo mingine miwili ya Europa Ligi kupigwa.
FC Seville watakua nyumbani kuwaalika mabingwa wa ligi kuu England wenye mwendo wa kusuasua Leicester City.
Wareno wa FC Porto watawakaribisha vibibi vizee vya Torino, Juventus.
Manchester City yaibamiza Monaco 5-3  Manchester City yaibamiza Monaco 5-3 Reviewed by Unknown on 23:34:00 Rating: 5

No comments

Recent