Home Top Ad

Responsive Ads Here

MTOTO HOPE aendelea vizuri

Sura ya furaha inaendelea kuonekana kwa mtoto Hope aliyechukuliwa mtaani nchini Nigeria wakati huo akiwa na miaka miwili baada ya kuachwa na Wazazi wake ikisemekana ni Mchawi.

Inasemekana alitelekezwa na familia yake kwa sababu walidhani yeye ni mchawi ambapo baadae akapatikana mtaani na kuchukuliwa na Mwanamke raia wa Denmark Anja Ringgren Loven aliyejitolea kumlea na kuishi nae.
hizi ni picha mbalimbali kabla ya kuchukuliwa 




Baada ya kuchukuliwa kutoka mtaani January 2016 picha mbalimbali zimekua zikitoka zikionyesha maendeleo ya Hope akionekana amenawiri kiafya na hata shule anasoma.
picha baada ya kuchukuliwa




MTOTO HOPE aendelea vizuri MTOTO HOPE aendelea vizuri Reviewed by pongwa trading on 05:27:00 Rating: 5

No comments

Recent