JE ni kosa la TCU au taasisi kudahili wanafunzi wasio na sifa?
tume ya usimamizi elimu ya juu, imetoa majina ya wanafunzi ambao hawana sifa ya kuendelea na elimu ya juu.
hata ivyo wanafunzi wengi walioingia kwenye sakata hilo wanadai kuwa tume ndio wenye makosa kwani wao ndio wenye mamlaka ya udahili wa wanafunzi hao.
katicha CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AUGUSTINE (saut) Msemaji wa chuo hicho Dk. Nkamwa amesema kwamba wanafunzi wote udahiliwa na TCU na wao kupelekewa majina tu, hata hivyo wanafunzi wengi imeonekana kutokua na vyeti vya diploma na hata uongozi wao pia kushangazwa na hilo.
katika CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (udsm), uongozi wa chuo hiko unasema kwamba wao hawana wanafunzi vilaza kwani hawapo kibiashara sasa iweje waambiwe kuwa wanawanafunzi vilaza
hata hivyo katika chuo hiko wanasema kuna baadhi ya kozi zinaendeshwa kwa kushirikiana na nchi zingine sio na TCU hivyo wao hawana wanafunzi vilaza na wakigundua kuwa mwanafunzi fulani ni kilaza wanamfukuza chuo kabla TCU kutoa tamko.

Reviewed by pongwa trading
on
22:08:00
Rating:
No comments