Home Top Ad

Responsive Ads Here

CHRISTIAN RONARDO awa mfano wa kuigwa

maisha ya mshambuliaji wa timu ya real madrid Christian Ronardo yanawatamanisha wachezi wengi wa bara la Afrika kwani amekuwa kama motisha kwako kutokana na juhudi zake katika soka.

hivyo wachezaji wengi hutamani kufikia hatua hiyo japo wanakili kuwa kuna vikwazo vingi sana mpaka kufikia kama mchezaji huo ambae ni nyota wa real madrid

kuachana na kazi hiyo christian amekuwa ni mtu wa kujituma katika kutafuta pesa mbali na kutegemea mshahara wake katika soka





CHRISTIAN RONARDO awa mfano wa kuigwa CHRISTIAN RONARDO awa mfano wa kuigwa Reviewed by Unknown on 04:32:00 Rating: 5

No comments

Recent