Home Top Ad

Responsive Ads Here

Cheusidawa kumsainisha msanii mpya

Rapa Fareed Kubanda amemsainisha msanii Big Jahman kwenye label yake ya Cheusi dawa Entertainment na kuanza kumsimamia kazi zake

Big Jahman anasema yeye mwenyewe alimfuata Fid Q na kumuomba amsimamie kazi zake kwani lengo lake lilikuwa ni kurudi kufanya vyema na kufanya biashara katika muziki. 


Big Jahman akiwa chini ya usimamizi wa Fid Q ameachia kazi yake ya kwanza inayoitwa 'Mabundi' akiwa ameshirikiana na Fid Q mwenyewe pamoja na Saraha.
Cheusidawa kumsainisha msanii mpya Cheusidawa kumsainisha msanii mpya Reviewed by Unknown on 09:16:00 Rating: 5

No comments

Recent