Home Top Ad

Responsive Ads Here

Waziri Nape baada ya kuona habari zake zimetafsiriwa vingine mitandaoni

February 13 2017 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye alionyesha kutofurahishwa na baadhi ya taarifa zilisambazwa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii zinazodaiwa kutaka kumgombanisha yeye na baadhi ya viongozi wenzake wa serikali.
Kupitia ukurasa wake wa Tweeter Waziri Nape aliandika
 ‘Tujifunze kusoma biblia, Nasoma masomo ya Mwakasege watu wanachukua na kutafsiri watakavyo kwa faida zao.Nimesikitishwa sana. Si SAWA!
Waziri Nape baada ya kuona habari zake zimetafsiriwa vingine mitandaoni Waziri Nape baada ya kuona habari zake zimetafsiriwa vingine mitandaoni Reviewed by Unknown on 03:21:00 Rating: 5

No comments

Recent