Home Top Ad

Responsive Ads Here

Chelsea yaibuka na ushindi zidi ya Wolves mabao 2-0

Viongozi wa ligi kuu wa Primia Chelsea wamefika robo fainali ya kombe la FA baada ya kuwashinda Wolves mabao 2-0 katika mechi ya kusisimua iliyoandaliwa kwenye uwanja wa Molineux.
Wolves walionyesha mchezo mzuri na kuishambulia ngome ya Chelsea mara kwa mara kabla ya wageni kuamka na kuwasukuma wenyeji nyuma.
Diego Costa aliifungua Chesea bao la pili na kufikisha jumla ya mabao 16 msimu huu.
Chelsea ambao wamefungu mwanya wa pointi 8 wakiwa kileleni mwa jedwali, walikumbana na shinikizo kali kutoka kwa Burnely walipotoka sare ya bao 1-1 wiki iliyipiya.
Chelsea yaibuka na ushindi zidi ya Wolves mabao 2-0 Chelsea yaibuka na ushindi zidi ya Wolves mabao 2-0 Reviewed by pongwa trading on 07:36:00 Rating: 5

No comments

Recent