Home Top Ad

Responsive Ads Here

Kikosi kazi chaundwa kuzuia 'viroba' toka nje

serikali ya Tanzania imeaunda kikosi kasi vya kuzuia uingiaji wa pombe kali kwa jina maarufu "viroba"
kikosi kazi hicho kitajumuisha ofisi ya waziri mkuu, wizara ya mambo ya ndani, TBS  uhamiaji na polisi
hivyo kufikia machi mosi serikali imesema lazima iende sambamba na uzuiaji wa viroba vinavyotoka nje

Kikosi kazi chaundwa kuzuia 'viroba' toka nje Kikosi kazi chaundwa kuzuia 'viroba' toka nje Reviewed by pongwa trading on 06:03:00 Rating: 5

No comments

Recent