Home Top Ad

Responsive Ads Here

mwanamke afukua kaburi la Mwanawe

leo February 20, 2017 imetokea Mbeya ambapo mwanamke mmoja ameamua kufukua kaburi la mwanawe kwa imani kuwa angefufuka baada ya siku tatu. Imedaiwa Mwanamke huyo alifanya hivyo akidaiwa kwamba aliota kuwa mtoto wake atakuwa nabii.
mwanamke afukua kaburi la Mwanawe mwanamke afukua kaburi la Mwanawe Reviewed by pongwa trading on 06:17:00 Rating: 5

No comments

Recent