Home Top Ad

Responsive Ads Here

orodha nyingine ya wanaodhaniwa kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya kwa namna yoyote ile




Aliyozungumza Makonda mchana huu na waandishi wa habari!.

Anasema anaingia awamu ya pili ya mapambano ambayo siyo nyepesi,anasema itakuwa na mawimbi mengi!.

1.Yanaingizwa kutoka Pakistan kwa meli,ikishapakia mzigo wanachukua madawa kwenye mifukonya sukari inawekwa kwenye mapipa!

Meli zikikaribia kufika mapipa hutupwa huko Zanzibar,Tanga na Bagamoyo yakiwa na GPRS,baadae hurudi walipoyatupa na kuyachukua na huyasafirisha mpaka Mtwara na baadae Afrika kusini!.

2.Kwa kutumia maghari yanayoaguswa kutoka nje,

3.Ni kwenye meli za mafuta

4.Ni wale wenye maeneo yao ya kupack mizigo!

Wengine huwatumia akina dada ,hawa hupewa dolla elfu tano ili ziwasaidie kuingia China.
 
Waliotajwa leo wafike kituo cha polisi cha dsm siku ya  Ijumaa kwa mahojiano!.
1.Mmiliki wa slipway
2.Mmiliki wa Yatchclub
3.Idd Azan
4.MMI Wine
5.Freeman Mbowe
6.Mwinyi Machapta
7.Mr Halfizi
8.Yusuph Manji
9.Mchungaji Gwajima
10.Wamiliki wote wa clubs na Cassino
11.Mzee Kiboko wa Mbezi chini
12.Rose ambaye anaishi Ghana
13.Mzee Kiboko wa Mbezi Chini
Jumla wapo 65 wanaotakiwa kuripoti polisi Ijumaa.
orodha nyingine ya wanaodhaniwa kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya kwa namna yoyote ile orodha nyingine ya wanaodhaniwa kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya kwa namna yoyote ile Reviewed by pongwa trading on 03:15:00 Rating: 5

No comments

Recent