Home Top Ad

Responsive Ads Here

Watanzania wanaoendelea kufukuzwa Msumbiji ni halali?

Dokta Maiga amelitolea maelezo kuwa ni sahihi  kufukuzwa kwa watanzania nchini Msumbiji kwa sababu za kuingia bila kufuata taratibu zilizopo za nchi hiyo na uhalali wa kuingia nchini humo na kuchukua fursa za ajira kinyume

pia aeleza kuwa hata mali zao zinaweza kuwa chini ya serikali hiyo kwa sababu hawana uhalali wa kuzimiliki mali hizo

dokta pia amesema hata Tanzania ilishawahi kutokea ivyo na hata ivyo bado wanaendelea kuwasiliana kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Msumbiji
Watanzania wanaoendelea kufukuzwa Msumbiji ni halali? Watanzania wanaoendelea kufukuzwa Msumbiji ni halali? Reviewed by pongwa trading on 21:40:00 Rating: 5

No comments

Recent