Home Top Ad

Responsive Ads Here

hakuna vurugu tena uwanja wa taifa dhidi ya mchezo kati ya simba na yanga. "TFF"

leo Jumamosi ya February 25 2017 Simba na Yanga watacheza mchezo wao wa marudiano wa Ligi Kuu Vodacom msimu wa 2016/2017 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, Simba na Yanga watacheza mchezo huo wa marudiano baada ya game yao ya round ya kwanza kumalizika kwa sare ya 1-1.
Katika game yao ya kwanza baada ya kufungwa goli la utata na Amissi Tambwe mashabiki wanaoaminika kuwa wa Simba walivunja viti kutokana na kutoridhishwa na maamuzi ya refa, afisa habari wa TFF Alfred Lucas ametaja namna walivyojipanga na kudhibiti vurugu katika mchezo huo.
“Jambo moja kubwa ambalo TFF tungependa kulisisitiza ni kuhusu usalama na wale wanaotaka kuchoma kadi za siasa, afisa usalama wa kanda ya Dar es Salaam amesema watakuwepo pale kuna Camera za uwanja wa Taifa zisizopungua 119 zitakazoweza kumulika watu mbalimbali na kuna askari wasio pungua 350” >>>Alfred

hakuna vurugu tena uwanja wa taifa dhidi ya mchezo kati ya simba na yanga. "TFF" hakuna vurugu tena uwanja wa taifa dhidi ya mchezo kati ya simba na yanga. "TFF" Reviewed by pongwa trading on 22:55:00 Rating: 5

No comments

Recent