Home Top Ad

Responsive Ads Here

hamia mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu


mamlaka ya mawasiliano TANZANIA "TCRA" kwa kushirikiana na watoa huduma za simu nchini wameanzisha huduma ambayo itamuwezesha mtumiaji wa simu kuhama kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda mwingine bila kubadili namba, huduma hiyo inatarajiwa kuanza March mosi Mwaka huu.
hamia mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu hamia mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu Reviewed by pongwa trading on 01:43:00 Rating: 5

No comments

Recent