Home Top Ad

Responsive Ads Here

DIAMOND awatoa wasi wasi mashabiki wake

msanii wa bongo flava maarufu kwa jina la DIAMOND PLATNUM amewatoa wasi wasi mashabiki wake mara baada ya kuwepo kwa taarifa ya kwamba ameripoti kituo cha polisi cha kati cha usala barabarani. msanii huyo ameeleza kuwa sababu kubwa ya yeye kuhitajika kituoni hapo ni sababu ya kwamba kuna clip inayosambaa mitandaoni ikimwonyesha  hakufunga mkanda wakati akienderesha gari na uku akicheza mziki. msanii huyo alipost katika akaunti yake ya instagram kuwa mashabiki wasiwe na wasi wasi juu hilo kwani kesi imeshaisha na ametekeleza adhabu yake kwa mujibu wa sheria.
hii ndio post aliyopost kwenye akaunti yake ya instagram
DIAMOND awatoa wasi wasi mashabiki wake DIAMOND awatoa wasi wasi mashabiki wake Reviewed by Unknown on 08:00:00 Rating: 5

No comments

Recent