Home Top Ad

Responsive Ads Here

Roberto Martinez asema ‘Samatta ni mchezaji mwenye ubora wa kucheza EPL.

Kocha wa timu ya taifa ya Ubelgiji Roberto Martinez amekiri kuwa, mshambuliaji na nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta ana-ubora wa kucheza ligi kuu ya  England maarufu kama EPL.
Shaffihdauda ilifanya juhudi za kumtafuta kocha huyo ambaye amewahi kufundisha soka England katika vilabu vya Wigan kabla haijashuka daraja pamoja na Everton kabla ya kupewa majukumu ya kuifundisha timu ya taifa ya Ubelgiji.
Juhudi zilifanywa na Mbwana Samatta kuiunganisha shaffihdauda.co.tz na Martinez, hatimaye kocha huyo akatoa ushirikiano. Martinez amesema, Samatta ni mshambuliaji mwenye kiwango kikubwa na uwezo wa kucheza soka kwenye ligi yoyote ikiwemo EPL, pia amesema ameongea na kushauriana vitu vingi na Samagoal.
Roberto Martinez asema ‘Samatta ni mchezaji mwenye ubora wa kucheza EPL. Roberto Martinez asema ‘Samatta ni mchezaji mwenye ubora wa kucheza EPL. Reviewed by pongwa trading on 01:53:00 Rating: 5

No comments

Recent