Home Top Ad

Responsive Ads Here

Polisi DSM waongea kuhusu kukamatwa kwa Agness Masogange

Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro leo amekutana na waandishi wa habari na kutoa taarifa kuhusu ukamataji wa Watuhumiwa wa kuuza dawa za kulevya, utumiaji na usambaji wa dawa za hizo ambapo katika wapya waliokamatwa kwenye 17 mmoja wao ni Video Queen Agness Masogange ambaye alikamatwa February 14 2017.
Polisi DSM waongea kuhusu kukamatwa kwa Agness Masogange Polisi DSM waongea kuhusu kukamatwa kwa Agness Masogange Reviewed by Unknown on 09:25:00 Rating: 5

No comments

Recent