Home Top Ad

Responsive Ads Here

alichokipost SHAMSA FORD kuhusu muigizaji anayegusa hisia zake

haya ndio maneno aliyopost shamsa kuhusu msanii anaemkubari na anaegusa hisisa zake 
"Kiukweli ni mwanaume pekee ambaye nikiigiza naye huwa nasahau kama ninaigiza na kuhisi ni kweli..namkubali sana huyu mmakonde wangu...Gabo Zigamba 'On SET'". Ameandika Shamsa Ford
Aidha mashabiki zake walimkosoa kitendo hicho kwa kumuomba ajitambue kuwa yeye sasa ni mke wa mtu na anapaswa kuangalia kila anachofanya kisije kuzidi mipaka yake, huku mwingine aliandika kwa kumuuliza hayo maneno endapo mume wake Chid mapenz akiyaona itakuaje.
Hii ndiyo post yenyewe.....

alichokipost SHAMSA FORD kuhusu muigizaji anayegusa hisia zake alichokipost SHAMSA FORD kuhusu muigizaji anayegusa hisia zake Reviewed by pongwa trading on 21:52:00 Rating: 5

No comments

Recent