Home Top Ad

Responsive Ads Here

Wizara ya mambo ya nje kuhamia Dodoma

June 2016 Rais John Pombe Magufuli alitangaza kuwa ni lazima Serikali yake yote kuhamia Dodoma huku akiagiza Wizara zote hadi kufikia February 28 2017 awamu yote ya kwanza iwe tayari imehamia Dodoma, Leo February 27 2017 Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa A.Mashariki Dkt. Augustine Mahiga ameongea na Waandishi wa habari baada ya kutekeleza agizo hilo.
Wizara ya mambo ya nje kuhamia Dodoma Wizara ya mambo ya nje kuhamia Dodoma Reviewed by pongwa trading on 21:46:00 Rating: 5

No comments

Recent