Home Top Ad

Responsive Ads Here

rudisha mafaili yako kwenye USB au DISK bila kufomati

kuna tatizo ambalo linawasumbua na kuwatesa watumiaji wa kompyuta pindi wanapohifadhi data zao kwenye flash au external disk kuna muda mafaili hayaonekani unapoweka kwenye kompyuta yako.

sasa leo nakupa njia moja na rahisi ya kurudisha mafaili hayo. unachotakiwa kufanya ni kupakuwa software ambayo utaipakuwa hapahapa na baada ya kuipakua utaifungua open kwa ku "doubleclick" kisha itafunguka na kuona option mbili za lugha kiespania na kiingereza utachagua lugha uipendayo kisha kama kiespania itaandikwa recuperar archivos ocultaos au kama kiingereza recovery the hide files utabofya hapo kisha kulitafuta folder au usb ama disk ambayo mafaili hayaonekani ukibofya  itaskani na mafaili yote kurudi
rudisha mafaili yako kwenye USB au DISK bila kufomati rudisha mafaili yako kwenye USB au DISK bila kufomati Reviewed by Unknown on 04:10:00 Rating: 5

No comments

Recent