Home Top Ad

Responsive Ads Here

mateja hali mbaya jijini DAR

bado ni  kizaazaa chaendelea jijini DAR baada ya mkuu wa mkoa Paul Makonda kulivalia njuga suala la watumiaji wa madawa, wasambazaji wa madawa na wauzaji wa madawa ya kulevya.

Bado orodha yafuatiliwa kwa kina kuhusu wahusika wote walijulikana wakijishilikisha na madawa hayo. kupitia upepelezi unaoendelea bado wahusika wanaongezeka kutambulika.
mateja hali mbaya jijini DAR mateja hali mbaya jijini DAR Reviewed by Unknown on 04:10:00 Rating: 5

No comments

Recent